Alhamisi, 23 Julai 2015

kero za wananchi waishio afrika kuna matatzo mbali mbali yanayosumbua ndani ya tanzania na afrika kwa ujumla ambazo wana mambo mengi ya kuwaeleza viongozi wetu lakini wanakosa nafasi kutokana na viongozi wetu kuwa bize kwa mfano john mnyika tangu achaguliwe kuwa mbunge wa jimn
bo la ubungo ameonekana mara mbili tu na akiwa bungen anazungumza habari za jimbo jingine la kwake azungumzi je wananchi mwaonaje je anafaa kuwa kiongozi bora

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni